Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Michezo ya Olimpiki kwa wanamichezo walemavu itafungwa rasmi Jumapili usiku, baada ya kudumu kwa zaidi ya majuma mawili. Olimpiki kwa walemavu ilishirikisha zaidi ya nchi 100, huku 73 pekee zikishinda…