Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mwendeshaji baiskeli wa Kenya Benson Mwaniki amejiondoa kwa mashindano ya Olimpiki ya Walemavu yaliyoratibiwa kung'oa nanga kesho kutwa jijini Paris nchini Ufaransa baada kujeruhiwa kwenye ajali wiki jana. Mwaniki amelazimika…