Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Emmanuel Wanyonyi ndiye bingwa mpya wa Olimpiki wa mita 800 baada ya kuparakasa fainali kwa dakika 1 sekunde 41.19. Marco Arop wa Canada ameshinda fedha kwa dakika 1 sekunde 41.20,…