Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mshindi wa nishani ya fedha ya Dunia Emmanuel Wanyonyi na bingwa mara mbili wa Jumuiya ya Madola Wycliff Kinyamal watashiriki nusu fainali ya mita 800 Ijumaa katika michezo ya Olimpiki. …