Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Ufaransa imetangaza rasmi kulitambua taifa la Palestina. Tangazo hilo lilitolewa na Rais wa nchi hiyo Emmanuel Macron kwenye hotuba yake katika Umoja wa Mataifa, UN jijini New York nchini Marekani…