Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Ongezeko la bei za mafuta hapa nchini, limesababishwa na vita vilivyoshuhudiwa kati ya Israel na Iran mwezi Juni. Hayo ni kwa mujibu wa waziri wa kawi Opiyo Wandayi. Akizungumza leo…