Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Bingwa wa Olimpiki katika mbio za mita 100 Julien Alfred amewasili nyumbani kisiwani St Lucia mapema Jumatano na kulakiwa kwa shangwe,mbwembwe, vifijo na nderemo kufuatia matokeo yake bora mwezi jana…