Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kenya itashiriki katika fani tano pekee kwenye michezo ya Olimpiki kwa wanamichezo wasiokuwa na uwezo wa kusikia baada ya fani saba nyingine kuachwa nje ya kikosi kitakachosafiri. Kenya ilitarajiwa kushiriki…