Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Seneta wa kaunti ya Busia Okiyah Omtatah, amekashifu mashambulizi ya hivi majuzi dhidi ya idara ya Mahakama. Seneta huyo amedai kuwa serikali haina ushahidi kwamba majaji walihongwa ili kutoa maagizo…