Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mwanamuziki maarufu wa mtindo wa Gengetone Shalkido, amelazwa hospitalini baada ya kupata ajali ya pikipiki kwenye barabara kuu ya Thika jijini Nairobi. Shalkido anaripotiwa kuwa katika hali mbaya kufuatia ajali…