Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kaunti ya Nyandarua ni miongoni mwa maeneo yaliyozalisha wapigania uhuru wengi, lakini kwa masikitiko makubwa, wengi wao walifariki bila kutambuliwa ipasavyo, na wale waliobaki hai wanaishi katika hali ya kusahaulika…