Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Ni afueni kwa Gavana wa kaunti ya Nyamira Amos Nyaribo, baada ya Maseneta kupiga kura Jumatano jioni kusitisha hoja ya kumtimua afisini. Kwenye kikao hicho, Maseneta 38 walipiga kura kumnusuru…