Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Wanafunzi wa Shule ya Upili ya Nyambaria waliojawa na hamaki waliwafurusha wasimamizi wa mtihani wa KCSE jana Alhamisi wakidai kunyanyaswa. Wanafunzi wa shule hiyo iliyo kaunti ya Nyamira, wamedai kunyanyaswa…