Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mkuu wa wauguzi hapa jijini Nairobi amepuuzilia mbali taarifa kwamba wauguzi wangeungana na madaktari katika kuishinikiza serikali kutimiza matakwa yao. Boaz Onchari amesema hakuna sheria inayosema waungane na madaktari wanapogoma…