Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Rais William Ruto ameelezea wasiwasi kuhusu kile alichokitaja kuwa hatua ya watu fulani kutumia vibaya mahakama kuhujumu mipango ya serikali. Rais alisema watu hao wameteka maafisa fulani wa mahakama ili…