Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mbunge wa Kitui Mashariki Nimrod Mbai ameachiliwa kutoka kituo cha polisi cha Kitengela kwa dhamana ya shilingi 50,000 pesa taslimu. Hii ni baada ya mbunge huyo kujisalimisha katika kituo hicho…