Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta ametambua vijana wa bara Afrika kama rasilimali kubwa zaidi kwenye bara hili huku akiwahimiza kuongoza kwa ujasiri, uadilifu na maono. Akizungumza Jijini Lagos Nigeria wakati wa…