Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Chama cha hospitali za kibinafsi (RUPHA), kimetoa ilani ya mgomo ya siku 14 kwa Halmashauri ya Afya ya Jamii (SHA), kikitaja hatua ya serikali kukosa kutoa malipo ya SHA yanayodaiwa…