Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Bunge la taifa limetangaza kuwa litakata rufaa dhidi ya uamuzi wa Mahakama Kuu, ulioharamisha hazina ya ustawi wa maeneo bunge NGCDF. Kupitia kwa taarifa, bunge hilo lilisema limewaagiza mawakili wake,…