Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Klabu ya Santos aliyoichezea mchezaji nguli marehemu Pele imeteremshwa ngazi kutoka ligi kuu ya Brazil Serie A kwa mara ya kwanza baada ya miaka 111. Santos imeshushwa ngazi kutoka ligini…