Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Waziri wa kilimo na ustawishaji wa mifugo Mutahi Kagwe, amekariri kujiotolea kwa serikali kuimarisha ushirikiano na Uholanzi, ili kuongeza tija katika kilimo cha humu nchini. Waziri Kagwe alisema haya jana…