Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kamati ya kumtafuta mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchguzi na Mipaka (IEBC), itakamilisha mahojiano ya wawaniaji wa wadhifa huo leo Jumatano. Miongoni mwa watu 11 walioorodheshwa kuwania wadhifa huo ni…