Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kiongozi wa upinzani nchini Zimbabwe Nelson Chamisa ametangaza kujiuzulu kutoka kwa chama chale cha CCC, akidai hujuma za serikali. Chamisa alitangaza uamuzi huo siku ya Alhamisi akisema kuwa chama hicho…