Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Balozi wa Uingereza hapa nchini Neil Wigan, leo Jumatatu ametangaza kuodoka kwake hapa nchini mwishoni mwa mwezi Agosti, baada ya kuhudumu kwa muda wa miaka miwili. Anaondoka hapa nchini kuchukua…