Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mbunge wa Kiharu Ndindi Nyoro ameondolewa kama Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti katika Bunge la Taifa. Mahali pake pamechukuliwa na mbunge wa Alego Usonga Sam Atandi. Mbunge wa Endebess Robert…