Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mahakama ya kukabiliana na ufisadi ya Milimani, imewapata maafisa wawili wa zamani wa Halmashaur ya Nafaka na Mazao (NCPB), mwanabiashara na kampuni mbili na makosa ya uhalifu wa kiuchumi. Kulingana…