Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Waziri wa Usalama wa Taifa Kipchumba Murkomen, ametangaza kubuniwa kwa jopo litakalomteua Mwenyekiti na Makamishna saba wa Tume ya Mshikamano na Utangamano wa Kitaifa (NCIC). Kulingana na Murkomen, muda wa…