Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Shirikisho la mchezo wa mpira wa kikapu nchini Marekani National Basketball Association -NBA limejitolea kutekeleza mipango ya kukuza talanta za mchezo huo mashinani nchini Kenya. Haya yalibainika wakati maafisa wa…