Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mwanamuziki wa Kenya Nazizi amemkumbuka mwanawe aliyeaga dunia kwa jina Jazeel Adam. Msanii huyo alichapisha picha ya mtoto huyo kwenye akaunti zake za mitandao ya kijamii. "Hujambo kisura maisha yamebadilika…