Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Wakulima katika eneo la Ukambani wametakiwa kukumbatia kilimo cha nazi kama njia mbadala ya kuongezea chakula katika eneo hilo. Akizungumza katika uwanja wa maonyesho ya kilimo wa Machakos, Lawrence Matolo…