Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Bunge la taifa limetoa ratiba ya kusaili walioteuliwa na Rais William Ruto kuhudumu kama mawaziri katika baraza jipya la mawaziri. Kulingana na ratiba hiyo, wateule hao watasailiwa hadi Jumamosi na…