Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mamlaka ya Kilimo na Chakula (AFA) imekumbwa na ukosoaji mkali kutoka kwa wabunge kwa kushindwa kutekeleza matakwa ya kikatiba kuhusu utofauti na ujumuishaji katika ajira zake. Alipofika mbele ya Kamati…