Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Gavana wa kaunti ya Narok Patrick Ntutu amesisitiza dhamira ya utawala wake kupanua vyuo vya kiufundi katika eneo hilo. Ametaja vyuo hivyo kuwa muhimu katika kuwapa vijana ujuzi wa kivitendo…