Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Serikali kuu kupitia wizara ya mawasiliano na uchumi digitali, imehaidi kuwalipa vijana watakao palilia na kunyunyiza maji miche ya miti inayopandwa katika kaunti ya Nandi na Kisii. Akizungumza wakati wa…