Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Serikali imejitolea kuhakikisha vizingiti vinavyohujumu upatikanaji wa vitambulisho hasaa miongoni mwa vijana, vinaondolewa. Katibu wa idara ya Uhamiaji na Huduma kwa Wakenya Dkt. Belio Kipsang, alisema upatikanaji wa vitambulisho na…