Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kamati ya Bunge la taifa kuhusu Elimu imeitaka tume ya kuajiri walimu nchini TSC kushughulikia masuala ya utumishi shuleni, hasa uhaba wa walimu wa Sayansi, Fizikia, Biolojia, Kemia na Hisabati…