Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Netumbo Nandi - Ndaitwa, ameapishwa leo Ijumaa kuwa Rais wa kwanza mwanamke wa Namibia, baada ya kuibuka mshindi kwenye Uchaguzi Mkuu na hivyo kuendeleza uongozi wa miaka 35 wa chama…