Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Aliyekuwa waziri wa utalii Najib Balala na watu wengine 16 ambao walikuwa wameshtakiwa kwa madai ya ufisadi wameondolewa mashtaka hayo na mahakama ya Malindi. Hatua hii inafuatia uamuzi wa afisi…