Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Madalali wamevamia makzi ya mbunge wa Naivasha Jane kihara na kuchukua gari pamoja na mifugo kadhaa. Kwenye uvamizi huo uliotekelezwa Alhamisi asubuhi, madalali hao walichukua mbuzi na kondoo 100 wanaomilikiwa…