Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Naibu Rais Rigathi Gachagua ametaja maandamano yaliyoshuhudiwa jana katika sehemu mbali mbali za nchi kuwa aibu. Akizungumza leo jijini Nairobi wakati wa kufungua mkutano wa wabunge kuhusu utunzaji wa mazingira…