Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mwaka mmoja tangu kuanzishwa, mpango wa lishe shuleni kwa jina "Dishi na County" umefanikiwa pakubwa huku ukigusa maisha ya wengi katika kaunti ya Nairobi. Kulingana na takwimu zilizotolewa na serikali…