Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Watu wawili wanahofiwa wameaga dunia baada ya jengo la ghorofa 16 lililokuwa likijengwa kuanguka leo Ijumaa katika mtaa wa South C Jijini Nairobi. Aidha watu kadhaa wanaaminika kukwama kwenye vifusi…