Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kenya imeunga mkono jitihada zinazoendelea zinazofanywa na nchi za Misri, Saudi Arabia, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) na Marekani, almaarufu Quad, zinazolenga kurejesha amani nchini Sudan. Mzozo nchini Sudan…