Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Watu kadhaa walifariki kufuatia mvua kubwa iliyonyesha katika kaunti ya Nairobi jana Jumapili usiku. Gavana Johnson Sakaja anasema miongoni mwa waliofariki ni polisi mmoja aliyekuwa akiwaokoa watu wasiopungua wanne katika…