Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Gavana wa Tharaka, Muthomi Njuki, amechaguliwa Naibu Mwenyekiti wa Baraza la Magavana. Magavana walimchagua Njuki, katika mkutano ulioandaliwa kujadili kuhusu nyumba za gharama nafuu na bima ya afya ya jamii…