Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Wanamuziki nguli wa Tanzania Ali Saleh Kiba maarufu kama Ali Kiba au King Kiba na Juma Jux wamemwomboleza aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya Raila Odinga, aliyefariki leo asubuhi. "Nimehuzunika sana…