Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya Kenya FKF,Gor Mahia wametoka nyuma na kulazimisha sare ya mabao 2-2 dhidi ya Nzoia Sugar . Barisa Mohamed alipachika magoli yote mawili kwa Nzoia…