Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Meneja Mkurugenzi wa Multichoice Kenya Nzola Miranda, alisema wamewekeza shilingi bilioni 6.5 tangu mwaka 2016 katika sekta ya filamu nchini ambazo zimewaajiri Wakenya wengi.