Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mchekeshaji maarufu hapa nchini David Onyando almaarufu Mulamwah, amesifiwa na wafuasi wake mtandaoni kufuatia kitendo cha kuwalisha waandamaji jijini Nairobi. Kwenye video aliyoweka kwenye ukurasa wake wa Instagram, mcheshi huyo…