Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Magavana wa kaunti za Pwani wamekataa mwaliko wa Waziri wa Kilimo Mithika Linturi wa kukutana ili kuangazia suala tata la zao la Muguka. Walifikia uamuzi huo baada ya kukutana chini…